Mark 1:12-13

Majaribu Ya Yesu

(Mathayo 4:1-11; Luka 4:1-13)

12 aWakati huo huo, Roho akamwongoza Yesu kwenda nyikani, 13 bnaye akawa huko nyikani kwa muda wa siku arobaini, akijaribiwa na Shetani. Alikaa na wanyama wa mwituni, nao malaika wakamhudumia.

Copyright information for SwhNEN